Saturday, November 23, 2013

USHAURI: NATEMBEA NA MCHUNGAJI MPAKA SASA NIMEANZA KUWA NA WIVU NA MKE WAKE..!!

Naombeni UShauri. Nimetokea kupendana na mchungaji Mpaka sasa hivi imefikia hatua nikimuona mke wake namchukia, yani nimekuwa na wivu kupita kiasi. Nisaidieni jamani nifanyeje..!! Ushauri tu..!!