Saturday, November 23, 2013

BABY MADAHA"UTUNDU KITANDANI NDIO SILAHA YANGU KUWAPAGAWISHA WANAUME NAYAJUA MAPISHI"

Wakati kukiwa na madai kuwa msanii Baby Madaha anatumia dawa za kienyeji kuwateka wanaume kimapenzi, mrembo huyo ameibuka na kusema kuwa siri ya kuwateka wanaume ni utundu wake kitandani....
Akiongea na mwandishi wetu, Baby Madaha amedai kuwa tuhuma za kutumia dawa za kienyeji hata yeye amezisikia tu, lakini wote wanaomtuhumu hivyo ni kwamba hawamjui yukoje anapokuwa kitandani...
Alisema kuwa utundu wake anapokuwa kitandani ndo siri ya kuwateka wanaume kwani huzingatia sheria na kanuni zote za maandalizi ya tendo hilo pindi awapo na mteja wake kitandani....
Madaha aliongeza kuwa hata huyu mkenya aliye naye watu wanasema kamuwekea dawa.Ukweli ni kwamba yeye hajatumia dawa yoyote bali karidhika na mapishi yake ya chumbani...
"Situmii dawa yoyote.Ni ufundi wangu tu ninapokuwa kitandani na mwanaume. Nayajua mapishi na najua njia zote za kumpagawisha mwanaume hata awe mgumu kiasi gani"...Alisema bab