Saturday, November 23, 2013

MTOTO WA ALIYEKUWA MBUNGE HUKO UGANDA AZUA BALAA, CHEKI HAPA..!!



Binti ajulikanaye kama Doreen Kabareebe amtia aibu kubwa baba yake ambaye alikuwa Mbunge huko Uganda apiga picha za nusu uchi na kutupiwa kwenye majarida huko kampala Uganda. Picha hizi zimezua mijadala mikubwa na maswali mengi kwa wakazi na wananchi wa kampala wanao mjua muheshimiwa huyo.

No comments:

Post a Comment