Saturday, November 23, 2013

BINTI WA KIONGOZI MMOJA WA DINI HUKO KENYA ATOLEWA NJE YA CLUB BAADA YA KULEWA NA KULETA FUJO.

Katika hali isiyoweza kufikirika binti mmoja mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha nairobi ambaye pia ni mtoto wa kiongozi fulani wa dini nchini humo. Alienda kwenye club moja ambayo siku hiyo ilikuwa inauza pombe nusu bei, binti huyo alikunywa sana na kulewa na baada ya muda boyfriend wake pia alifika na kuendelea nae kunywa, binti huyo alianza kuleta fujo na kuvunja chupa na glass kwenye club hiyo, uongozi ulishindwa kuvumilia na kuchukua hatua ya kumtoa na mkutupa nje huku boyfriend wake alibaki ndani akilipa uhalifu na mali alizo haribu binti huyo..!!