Tuesday, December 24, 2013

ANGALIA ALICHO KIFANYA RIHANNA HAPA..!!


Msanii mkali wa pop, huko marekani Rihanna amekuwa akisikika sana kwa vituko vyake, hivi karibuni alionekana akiwa amevaa Nusu uchi huku akikatika, wakati alipoenda kutembelea kwao, nakufanya shuhuli za kimila. Imekuwa ni kawaida kwa kuvaa nusu uchi na kupita mitaani au hata kwenye maenyesho yake.