Thursday, December 12, 2013

WALINZI WANASWA WAKIWA WAMEUCHAPA UZINGIZI MZITO TENA MCHANA KWEPE....!

ULINZI NA USINGIZI NI HATARI !! Hawa ni walinzi wa kutumainiwa boss akilini unajua wako vijana wa kazi wanalinda biashara yako kumbe wamelala! Taswira hii imechuliwa pale IPS Building mitaa ya posta!