Monday, February 17, 2014

MAZISHI YA MAMA THEONESTINA K RWEYEMAMU HUKO BOKOBA TANZANIA

Mwili wa marehemu Theonestina Rweyemamu kabla kusafirishwa kutoka New York ukiwa kanisani wakitoa heshima za mwisho
 
kiongozi wa dini akitoa heshima za mwisho
 
Mwili wa maeremu ukiwa nyumbani kwake Bukoba kitendaguro
 
Baba Askofu Methodius Kilain alieongoza Ibada ya Mazishi akiwa na wanafamilia ya marehemu
 
Hapa ndio nyumba ya milele ya marehemu mama Theonestina Rweyemamu
 
Ni picha ya pamoja wa wanaumoja walioleta zawadi za kusaidia katika msiba,Paskazia Barongo akiwa ni mwanachama wa umoja huo
 
Bw Chichi (kulia) akiwa msibani
Watoto wa Marehemu Emmanuel na Doris wakiandaa mwili wa marehemu kabla ya watu kutoa heshima za mwisho
Mwili ukitolewa ndani
 
wakati wa ibada ya mazishi
 
Baba Askofu Kilain akiongoza ibada ya mazishi
 
Watoto wa marehemu
 
Paskazia Barongo akimsikiliza Baba Askof Kilain wakati wa maubili
 
wakati wa mazishi
 
Doris mtoto wa marehemu akiweka udongo 
 
Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua, marehemu alizaliwa 1 Feb 1952 na amefariki 1 Feb 2014
 
Baba askofu Methodius Kilain akiomba sara wafiwa wakiwa ndani na kuitimisha ibada ya mazishi
 
MZEE Samwel Rwangisa akiwa na Bw Chichi
 
Baada ya mazishi maisha yanaendelea , kinywaji .......
 
Ni mti (Chrismas Tree) uliopandwa na Dada Paskazia Barongo karibu na kaburi
 
Emmanul akiwa na bibi mzaa baba
Baada ya mazishi watu maisha yanaendelea migombani,
Credit JamcoBlogBukoba