Thursday, February 6, 2014

Sherehe za kuzaliwa chama tawala CCM zitaadhimishwa kichama siku ya Tarehe 08.02.2014 New York.

Sherehe za kuzaliwa chama tawala CCM zitaadhimishwa kichama siku ya Tarehe 
08.02.2014 New York. 
Address 
Claudio's Cafe
32-23 37th Ave Astoria, Long Island City
Phone number
(718) 726-2233
Tunawaomba wanachama, Watanzania na marafiki zetu wote mhudhurie kuja kusherehekea miaka 37 toka chama kuzaliwa. Tafadhali tusaidie kusambaza taarifa kwa wengine. Sherehe zitaanza saa 11 jioni hadi saa 6 usiku. Kutakuwa na chakula, vinywaji sambamba na Talent show ya watoto kutoka Springfield na mambo mengine ya kuchangamsha. Na muziki utapigwa na Dj Paul Masoud patakuwa hapatoshe siku hii. Wote mnakaribishwa kwani kiingilio ni mguu wako tu.
Shukran Utawala.