Friday, February 28, 2014

UUUWI.......... KANGA NDEMBE NDEMBE SASA NI SHIDAA...................

Haikuwa salama hata kidogo kwa baadhi ya wanaume walioingia katika ukumbi wa Theophilo Kisanji.
Umati mkubwa uliofulika katika ukumbi huo wakishangazwa na Show ya Khanga M0ko laki si Pesa.