Friday, March 7, 2014

ANGALIA PICHA ZA NDEGE MPYA YA AIR TANZANIA ILIYOFIKA JANA

Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 iliyowasili usiku wa jana
Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 Baada ya Kutua Jana usiku
Shangwe kutoka kwa wadau mbalimbali mara baada ya ndege kutua
Muonekano wa ndege hiyo kwa ndani.
Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro akisalimia wana-Air Tanzania waliofika kuulaki ujio huo
Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro Akishuka ndani ya ndege Hiyo
Wanafunzi wa mafunzo ya cabin crew katika chuo cha Air Tanzania nao walikuwepo uwanjani kupokea ndege hiyo
Air Tanzania jana usiku wameleta ndege nyingine 5Y-WWA aina ya CRJ200 ikiwa ni muendelezo wa kuboresha huduma zao za anga nchini Tanzania