Sunday, March 2, 2014

JE UNAFIKIRI HUKU NI KUOMBA KURA AU KUDHALILISHANA?

Moja kati ya viongozi wa CHADEMA akimuonyesha mtoto wa kiongozi wa CCM jinsi alivyovaa uniform zilizochanika na hana viatu..