Monday, March 3, 2014

JE UNAFIKIRI KUPIGA MKE NDIO DAWA???

Mume anampiga mkewe,Mke:usinipige mume wangu utaniua...!Jirani:mke hapigwi jirani..!Mke:mwambie wewe jirani labda atakuelewa..!Mume:sasa anafanywa nini kama hapigwi?Jirani:kama hakusikilizi unamuolea mwingine...!Mke:nyooo hasidi mkubwa NIPIGE MUME WANGU USIMSIKILIZE JIRANI,NIPIGE NIKOME MAANA MIMI WAKATI MWINGINE HUWA SINA ADABU......Chezea ukewenza eeh