Wednesday, March 5, 2014

MAJAMBAZI YANATISHA

Baada ya kuiba kila kitu ndani ya nyumba,majambazi yaliwageukia baba na mama mwenye nyumba...Jambazi:sasa tumeshaiba kila kitu iliyobaki nikuwaua....mama unaitwa nani?Mama:naitwa Asha..!!Jambazi:una bahati wewe unajina kama la mama yangu sitakuua....na wewe baba unaitwa nani?..Baba:naitwa Mzee Kipara lakini mtaani na marafiki zangu wamezoea kuniita Asha kama jina la mama yako.