Tuesday, June 24, 2014

USILAZIMISHE MAMBO MAKUBWA HATA BEACH INAFAA KULIKO BAADA YA HARUSI MUMEO ANAANZA KUKOPA

Angalia uwezo wako na mwenzako mnaetaka kuoana nae mnaweza mkafunga ndoa yenu mkaenda beach mkapata picha na drinks mkarudi zile hela za michango ambazo mngelipa ukumbi wa ghari zitawasaidia maana safari ya ndoa ni ndefu na ina mambo mengi usifanye harusi kufuraisha mashosti jiangalie wewe na mumeo akikwambia ndoa nyumbani pia usikasirike kwani shida yako ndoa au maonyesho uwe na akili kama uwezo mnao sawa lakini kama mnaunga unga ile michango iwasaidie kuliko ukimaliza harusi mumeo anaanza kukopa maana hana kitu.