HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Tuesday, May 5, 2015
TUTAWAENZI DAIMA!!
WALIKUWA WAKWELI, WAADILIFU, WAZALENDO, WAPENDA HAKI, WALIWAJALI WATANZANIA, VIONGOZI WA UKWELI.
Lakini sio huyo Sokoine Mmasai. Endapo Sokoine alikuwa "MKWELI, MWADILIFU, MZALENDO, (na)MPENDA HAKI," kwa nini TAKUKURU ya wakati huo ilikuwa ikimchunguza kutaka kujua maelefu ya ng'ombe wake hapo karibu na Ruvu Darajani, aliwapata namna gani? Yeye alijitetea kuwa kila mara akifika kwao huko, hupewa zawadi na Wamasai wa kwao na wjapo kumtembelea humleta ng'ombe. Hilo halikumridhisha Kambarage. Andikeni vitu mjuavyo.
Lakini TAKUKURU walimwandama sana Sokoine --- ng'ombe wengi hapo Ruvu Darajani mkono wa kushoto kuelekea Morogoro. Dadisini kwa undani kabla ya ku-take things for granted!
Natumani safari hii hutaminya kutundika haya yangu. Kwani hii ni mara ya pili. Tundika ya mwanzo kwa kirefu; haya ni kwa kifupi tu.
Lakini sio huyo Sokoine Mmasai. Endapo Sokoine alikuwa "MKWELI, MWADILIFU, MZALENDO, (na)MPENDA HAKI," kwa nini TAKUKURU ya wakati huo ilikuwa ikimchunguza kutaka kujua maelefu ya ng'ombe wake hapo karibu na Ruvu Darajani, aliwapata namna gani? Yeye alijitetea kuwa kila mara akifika kwao huko, hupewa zawadi na Wamasai wa kwao na wjapo kumtembelea humleta ng'ombe. Hilo halikumridhisha Kambarage.
ReplyDeleteAndikeni vitu mjuavyo.
Lakini TAKUKURU walimwandama sana Sokoine --- ng'ombe wengi hapo Ruvu Darajani mkono wa kushoto kuelekea Morogoro. Dadisini kwa undani kabla ya ku-take things for granted!
ReplyDeleteNatumani safari hii hutaminya kutundika haya yangu. Kwani hii ni mara ya pili. Tundika ya mwanzo kwa kirefu; haya ni kwa kifupi tu.