Monday, June 18, 2012

EXTRA BONGO WAZEE WA KIZIGO WAZIDI KULITIKISA JIJI NDANI YA MEEDA SINZA.

Ally Choki akiwaburudisha washabiki na wapenzi wa Extra Bongo ndani ya Meeda usiku wa kuamkia leo
Choki akichea show na wanenguaji wake wa Extra bongo ndani ya Meeda Sinza.
Banza Stone Mwana wa Masanja - AKA Jenerale akiimba nyimbo yake ndani ya Meeda Sinza.
Mmiliki wa KAPINGAZ Blog Henry Kapinga alikuwepo ndani ya Meeda Sinza, hapa akishoo luv na kuwapa Big Up Ally Choki na Banza Stone wakati Extra Bongo walipokuwa wanapamofu usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi huo.
Rapa maarufu namba moja Afrika mashariki wa Extra Bongo Kaba Tano akirap ndani ya Meeda Sinza usiku wa kuamkia leo

Sunday, June 17, 2012

MTANZANIA MSAFIRI ZAWOSE ALIPOPAGAWISHA SHRINE HARLEM


 

Msanii wa music wa kiafrica Msafiri Zowose akiwapaburudani na wapenzi wamusic wakiafriaca walio jitokeza katika show yake iliyo fanyanyika Shrine Harlem NYC weeknd, Msafiri ni mtanzania anaefanya shughuri zake za music wakiafrica sehemu mbali mbali duniani na kwa sasa yupo Marekani akitoa burudani hiyo katika miji mbali mbali ya Marekani hongera sana kwa kuitangaza Tanzania katika nyanja za kimataifa kwa kutumia music wa asili ya kiafrica.

 Msafiri Zowose akiwa kazini 
 Hongera sana kwa kazi mzuri ya kuitangaza nchi yetu Tanzania
Walijitokeza kushuhudia show hiyo ya Msafiri Zowose

HAFLA YA KUMUAGA MH ASHA-ROSE MIGIRO NEW YORK YA FANA


 Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania New York  Hajji Khamisi akiongea machache na kuwakaribisha wageni. 
Kiongozi wa jumuiya ya watanzania waishio DC Iddi Sandaly akiongea machache katika hafla hiyo 


Bwana Suleiman Saleh afisa ubalozi Tanzania Washington DC  akiwakaribisha Mh. Asha-Rose Migiro na Mh. Balozi Mwanaidi  Maajar Sinare walipokuwa wanaingia ukumbini
 Waheshimiwa wakiingia ukumbini 
 Mh. Asha-Rose Migiro akiingia ukumbuni na smile baada ya kuona watanzania wengi wamejitokeza kuja kumuaga
Kushoto kiongozi wa jumuiya ya watanzania NY Nd. Hajji Khamisi, wa pili toka kushoto Mh. Balozi Mwanaidi, Mh. Asha-Rose Migiro na Nd. Iddi Sandaly kiongozi  wa Jumuiya ya watanzania Washington DC  
 Afisa ubalozi Tanzania Washington DC na mshereheshaji wa hafla hiyo bwana Suleiman Saleh akiongea machache na kumkaribisha Mh. Balozi Mwanaidi Maajar Sinare 
 Mh.Balozi Mwanaidi Maajar Sinare akimkaribisha Mh. Asha-Rose Migiro katika hafla hiyo ya kumuaga
 Mh. Asha-Rose Migiro akiongea baada ya kukaribishwa 
 Waheshimiwa wakipongezana baada ya kumaliza kuongea
 Mh. Asha-Rose Migiro Akipokea zawadi aliyopewa na uongozi wa jumuiya ya New York

 Mh. Asha-Rose Migiro akipokea zawadi kutoka aliyo nunuliwa na viongozi wa jumuiya ya Washington DC
 Mama Mnanka nae akimkabizi zawadi Mh. Asha-Rose Migiro

kwa picha zaidi Bofya Read more


Thursday, June 14, 2012

PICHA ZAIDI ZA MATUKIO YA MKUTANO WA TIGU Inc

 Discussion on small business owners of Diaspora community, Ahmed Issa, Director TIGU Inc.
Charles Achang, CEO The Immigrant Magazine
 Christopher Mwakasege, CEO TASOET
 Agnes Manumbu, CEO standards home care



Derrick Angues, CEO Derricks Jamaican cuisine
Barlin H. Ali, Program Coordinator, Center For International Disaster Information (CIDI)
 Dj Dully Smart, Tanzania Community in Seattle.


 From left Cynthia, CEO of blog tzmomsconnect.com from Utah,  Alias Mwita, CEO ESM Travel (middle) and Ny Ebra from Vijimambo blog.
 From left Mrs Haji Jingo, Dj Dully and Haji Jingo Ukodak moment with vijimamboz.....