Thursday, January 1, 2009

HERRI YA MWAKA MPYA!!

Salamu kwa wadau wote wa blogu hii kwa kuwatakia mwaka mpya wa 2009 wenye neema, afya na mafanikio makubwa. Kwa vile tunajua tulikotoka (2008), basi ni lazima tuwe na msimamo wa wapi tunakwenda kwa 2009. Tujitahidi sana kudumisha heshima, umoja, upendo na amani kwani ndizo nguzo kuu za mwanadamu thabiti.

No comments:

Post a Comment