Thursday, January 1, 2009











Wadau wakiwa wamejikusanya kwenye moja ya choma nyama jijini New York. Kwa sasa kila mtu anasubiri kipindi cha baridi kimalizike ili turudi tena kwenye maraha ya majira ya kiangazi.




1 comment:

  1. Mr Fundi Lazima ufanye Juu chini ili emage ionekane kwenye sehemu ya kutolea maoni. Nataka kumpa big up chali mmoja anasakta ngoma sana hapo juu na mdada mmoja rangi maji ya kunde kavaa chui sister kakolew vibaya sana doh. halafu washikaji wanajurusha kama hawana akili vile doh! Haya bwana mambo neu ia haya

    ReplyDelete