HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Wednesday, January 14, 2009
Huu ndio ulinzi ambao tayari anapewa Rais mteule Barack Obama. Hii ilikuwa ni jana alipoalikwa kwenye chakula cha jioni kwenye makazi ya raia mmoja huko Maryland.
No comments:
Post a Comment