Wakati akizungumza na waandishi wa habari kwa mara ya mwisho kabda ya kuondoka madarakani, Bwana Kichaka, kwa mara nyingine tena anakataa kukubali ukweli kwamba serikali yake imesababisha kuzorota kwa hadhi na heshima ya Marekani duniani, pamoja na kukataa makosa kwenye maamuzi mengi aliyoyafanya, mojawapo ikiwa ni vita vya Iraq.
No comments:
Post a Comment