Friday, March 20, 2009


Huu ni mlipuko wa Volcano ya chini ya maji ya bahari uliotokea jana kwenye maji ya bahari ya visiwa vya Tonga. Mpaka sasa hakuna habari ya maafa yaliyotokea kwa binadamu wa visiwa hivyo zaidi mtetemeko uliotokea wakati wa mlipuko.

No comments:

Post a Comment