Sunday, March 1, 2009

Kivuko cha pamtoni(ferry) kikiwavusha watu na magari pale Kigamboni. Ile ndoto ya kuwa na daraja Kigamboni itakapokamilika itasaidia sana maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment