Sunday, March 29, 2009










Mwanamusiki Madonna amewasili nchini Malawi tayari kuchukua mtoto mwingine aitwaye Mercy James mwenye umri wa miaka 4. Tayari Madonna alishachukua mtoto aitwaye David Banda mwaka 2006. Madonna ana mpango wa kujenga shule katika kijiji cha Chinkhota. Picha juu zinaonyesha matukio mbali mbali wakati alipowasili nchini Malawi.




No comments:

Post a Comment