Thursday, March 5, 2009

Raisi wa Sudan Omar Al Beshir, akiwa mitaani huku akishangiliwa na mashabiki wake mara baada ya Mahakama Kuu ya Kimataifa kutangaza mashitaka dhidi yake na kutoa hati ya kukamatwa kwake ili kujibu mashitaka ya mauaji ya Darfur.

2 comments:

  1. Al-Bashiri and Mugabe, siku zenu za kutawala na kuenjoy madaraka zinaelekea ukingoni. Na kwa viongozi wote wa Africa, jitahadharini na maamuzi mnayofanya, kwa sababu cheo ni Dhamana,nchi ni mali ya WANANCHI, hivyo waafrika na Dunia kwaujumla tuta wahold accountable in the FUTURE for your actions.

    ReplyDelete
  2. Ndugu nakubaliana na wewe kabisa. Hawa watu sijui kwa nini huwa wanadhani wao ni Miungu ya pili.

    ReplyDelete