HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Saturday, March 14, 2009
Sanamu la Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere pale Dodoma. Mwalimu ni mmoja kati ya viongozi wachache wa Afrika aliyeitumikia nchi yake na Afrika kwa ujumla kwa moyo mkunjufu usio na ubinafsi.
No comments:
Post a Comment