HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Thursday, April 16, 2009
Mashine ya kukoboa na kusaga ya kienyeji. Haya ni mazowezi mojawapo wayapatayo kina mama wa vijijini bila hata ya kwenda gym.
Haya Maisha sijui yataboreka lini. Miaka 40 na ushee ya uhuru na bado wamama zetu bado wataabika na kuishi maisha duni.Vyuo vyetu vinatoa wachumi kibao wasioweza hata kubuni mbinu za kuakwamua mama zetu. There is something wrong with our education system, it is just the acquisition of credits and well paying jobs. The professional economist is unable to solve simple economic problems. "Credentialing, not educating, has become the primary goals of most African Universities. African problems zinasubiri western solutions. Tutafika tu kwa nguvu za mola.

ReplyDeleteHalafau hawachelewi kujigamba, oh mimi mchumi. Tafadhalini wasomi wetu, Wachumi wanasolve problems, na sio kupokea mishahara mikubwa tu.