Thursday, April 23, 2009

Mgombea wa ANC, bwana Jacob Zuma akipiga kura yake katika kijiji cha Nkandla, kusini mwa Jiji la Durban jana. Mazungumzo yaliyopo kwa sasa ni kwamba endapo bwana Zuma atashinda uchaguzi huu, je! ni nani kati ya wake zake atakuwa mama wa kwanza(First Lady) ?

No comments:

Post a Comment