Thursday, April 23, 2009

Wananchi wengi wamejitokeza kwa wingi katika uchaguzi mkuu huko Afrika ya Kusini jana kupiga kura zao ili kumchagua nani aliongoze Taifa hili kubwa Barani Afrika. Walio wengi wanamtegemea mgombea wa ANC bwana Jacob Zuma kuwa ndiye atakayetokea kuwa mshindi.

No comments:

Post a Comment