Tuesday, May 12, 2009

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii David Mwakyusa (kushoto)akisaini kitabu cha wageni wakati wa uzinduzi wa maabara ya kisasa Amana Hospital iliyojengwa na Mfuko wa Abbott Fund,(katikati) Makamu wa Rais wa Abbott Fund Christy Wistar,(kulia) Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ilala Prof Dafrosa Limo

No comments:

Post a Comment