Wednesday, May 13, 2009


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii David Mwakyusa,(kulia)Akipatiwa maelezo na Makamu wa Rais wa Abbott Fund Christy Wistar juu ya namna ya vifaa vya maabara ya kisasa vitakavyotumika mara baada ya kuizindua rasmi,(katikati) Meneja wa maabara Costantine Mzava,Kushoto kwake ni Mbunge wa Ilala Musa Azani Zungu,Maabara hiyo ilijengwa na Abbott Fund kwa msaada wa watu wa Marekani.

No comments:

Post a Comment