Tuesday, June 16, 2009










Bendi Maarufu ya Mziki wa Dansi The Ngoma Africa inayoongozwa na mwanamziki Ras Makunja aka Bw.Kichwa Ngumu,imedatisha washabiki katika maonyesho ya kimataifa ya
Masala Festival,mjini Hannover,Ujerumani onyesho hilo liliofanyika jumapili ya 14-06-2009,
Bendi hiyo hilipanda jukwaani na kuanza kulishambulia jukwaa kwa mdundo mkali wa dansi la bongo ambalo dakika chache tu kulikuwa pata shika la asiye na mwana abebe jiwe! washabiki wote walikuwa wamedatishwa akili na mdundo huo.


1 comment:

  1. ras makunja! kamanda wa ngoma africa aka ffu,kijamaa kina kichwa sugu ! na malumbano ya kimataifa kweli anayaweza,mpaka kukubalika kimataifa kafanya kazi sio mchezo,labda anaweza kuwa mfano kwa wanamziki wengine wa Tanzania.

    ReplyDelete