Friday, June 26, 2009

Mr. Hashim T. akichekelea baada ya kuchaguliwa namba mbili kwenda kuchezea timu ya Memphis wakati wa uchaguzi wa mwaka huu wa kuingia NBA... WABONGO WOTE TUNAKUPA HONGERA NA KUKUTAKIA MAFANIKIO MAKUBWA! Wakilisha..

1 comment:

  1. Hongera kaka ila hela za America zina nuksi zinaweza kukupandisha chati na kukushusha chati. Jihadhari na waliokuzunguka. Hongera sana kaka.

    ReplyDelete