Solo kuu la samaki Kigamboni limekuwa likiwasaidia sana wakazi wa jiji kwa kujipatia kitoweo, lakini la msingi la kuzingatiwa ni usafi wa mahali hapo. Kama tunavyofahamu magonjwa mengi uweza kujitokeza kama hali ya usafi haikuzingatiwa na hivyo kuleta maafa makubwa kwa jamii.
No comments:
Post a Comment