Thursday, August 27, 2009


Nina swali kwa ye yote ambaye ana taarifa ya mpango wa kutumia wanja hili kwa timu zitakazo kwenda Afrika ya Kusini kwenye kombe la Dunia hapo mwakani? Kwa kweli kama mpango huo haupo basi tutakuwa tumeipoteza bahati ya kuitangaza nchi yetu na kukuza biashara ya utalii.

No comments:

Post a Comment