Friday, August 28, 2009

Ukiwa ufahamu unaweza usiamini kabisa ukubwa wa wadudu waliokipandisha hiki kichuguu mpaka kufikia urefu na ukubwa huu. Mchwa ni wadudu wadogo sana lakini ikija kwenye kuchapa kazi na ushirikiano wanaweza wakatushinda hata sisi wanadamu. Siri yao ni nini?

No comments:

Post a Comment