Friday, August 28, 2009


Ras makunja na kikisi chake The Ngoma Africa band, hapo tarehe 21-08-2009
waliufunga mtaa mrefu katikati ya jiji kubwa Hamburg,Ujerumani.katika maonyesho ya Alafia -Afrika Festival,na kusababisha ulinzi kuwepo ulinzi mkali, mbele ya jukwaa kulijaa washabiki ambao wanadai kuwa ngoma africa ni bendi yao ya damu! nyuma ya jukwaa kulikuwa kumejaa Polisi ambao nao wanadai kuwa baada ya kumalizika onysho hilo lazima Makunja na kikosi chake wasindikizwe na Ulinzi na hakuna mshabiki wa kuwasogelea! inamaana FFU wa Ngoma Africa chini ya ulinzi wa washabiki na polisi ?Poromota wa onyesho hilo aliwatangazia washabiki kabla ya mziki kuanza kuwa "Washabiki wanaombwa kucheza mziki mbele ya jukwaa" tafadhali nyuma ya jukwaa ni sehemu ya ulinzi tuu! jukwaa lipo kati! upande wa mbele washabiki na upande wa nyuma polisi, Ras Makunja na Ngoma Africa yake wamewekwa mtu kati!!

No comments:

Post a Comment