Wednesday, September 30, 2009

Hali kama hii si ngeni katika sehemu nyingi za hili bara letu la Afrika. Wanyama na binadamu sote kugombania uhai kutoka kwenye vidimbwi kama hiki pichani juu, lakini hapo hapo bado tunadai kwamba tuna serikali zetu ambazo mojawapo ya majukumu yao ni kutuondoa katika hali kama hii, lakini...