Thursday, September 24, 2009

Nchi za Kiafrika lazima tufanye kila namna ili hili kombe libaki barani. Itatubidi sote tuwaunge mkono wenzetu wa kutoka barani humu ambao watafanikiwa kwenda Afrika ya Kusini mwakani. Hii itakuwa historia na heshima kubwa kwa Afrika.

No comments:

Post a Comment