HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Saturday, September 19, 2009
Wadau, ningependa kuuliza kuhusu huu msemo wakati unapoambiwa "UNA ROHO YA KIKOROSHO," je! mausiano yako wapi?
No comments:
Post a Comment