Saturday, November 7, 2009

Kwa kweli Mmarekani ana sababu ya kuwa na wasiwasi, tazama jinsi Mchina alivyojipanua kibiashara Afrika katika kipindi kifupi sana.