Wednesday, November 4, 2009


Mimi nadhani kama Wamasai wakicheza mpira wa vikapu(basketball) uwenda wangekuwa mabingwa wa kudunk! Tazama jinsi walivyo na uwezo wa kuruka juu...