Wednesday, November 4, 2009

Usiku wa tarehe 7-Nov-2009 na 8-Nov-2009

Kutakuwa na chereko! chereko ya Usiku wa utamaduni wa Mtanzania uliopewa jina

la Tanzanight
Tamasha hilo litafanyika Mjini Tampere, Finiland,

Wadau msikose Kujichanganya katika ukumbi maarufu Klub,Tampere