HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, December 14, 2009
Haya ndiyo maisha ya Watanzania walio wengi huko vijijini na itawachukua miaka mingine 48 kutoka katika hali hii kama tutaendelea kusheherea uhuru kwa vifijo na furaha...
Duh!! Utadhani ni Tanganyika kabla ya UHURU, kumbe ni Tanzania karne ya 21. viongozi wanatembelea magari ya dola laki mmoja, huku wananchi wengi vijijini wanaendelea kutaabika, hii ni hali ya kusikitisha kweli kweli. Ubinafsi na wizi ndio sifa ya viongozi wetu.

ReplyDelete