Tuesday, January 26, 2010

"BONGO STAR LINK"


Hi Everyone
Napenda kuwafahamisha ile blog inayokimbiza kwa Ent. hapa Bongo iko hewani sasa.
Utaweza kujionea video Mpya ya MANGWEAR inayoitwa CNN
Utapata kuiona cartoon mpya ya DJ CHOKA
Bila kusahau utayaona makundi yalioshiriki kwenye tuzo za TEEN XTRA.
Mjue mshindi wa kulisakata li mduara.
Story zinazoendelea kitaa ya kuwa Daz Baba kageuzwa kitololi.
Na utaweza kujua ratiba nzima ya show anazozifanya Ali Kiba huko Ughaibuni.
NAMENGINEYO MENGI MENGI.
Pia Soon nitaweka nyimbo mpya za Bongo Fleva zilizotoka mda si mrefu.
Nawashukuru sana kwa kunivumilia bila nyie siwezi kuwa DJ CHOKA.

its me DJ CHOKA aka MR. APETITE+255 715 727873

No comments:

Post a Comment