Tuesday, January 26, 2010


Hawa jamaa toka Congo, Freddy Ndala Kasheba(marehemu) na Kikumbi Mwanza Mpango "King Kiki" ni lazima waingie kwenye vitabu vya historia ya musiki wa dansi nchini Tanzania kama mojawapo wa wakongwe wa musiki nchini mwetu. Mchango wao mkubwa kwenye fani ya musiki wa Kitanzania kamwe hautasahaulika!

No comments:

Post a Comment