Saturday, February 27, 2010



1 comment:

  1. Usafiri kama huu unahitajka kwetu hasa Dar. Watu wanakaa kwenye foleni masaa mawili sehemu ya dakika 10 ni aibu tupu. Sasa kukiwa na mgonjwa inakuwaje? Si mgonjwa atafia kwenye foleni? Treni zianzishwe magari yawekwe nyumbani, Mwenye suti, gauni,kikapu wote treni. Mwenye corolla,benzi, subari wote wayache magari nyumbani.

    ReplyDelete