Tuesday, March 2, 2010

Picha mbili tofauti za kilele cha Mlima Kilimanjaro!
Ni kwa miaka mingi sana kilele cha Mlima huu kilikuwa kimetanda theluji kwa wingi, lakini kwa sasa sivyo hivyo! Hili lazima litutie wasiwasi kwani jinsi machafuko ya mazingira yanavyozidi kukua ndivyo tupatapo hali kama hii na hatimaye kusababisha majanga makubwa kwa binadamu. "Global Warming" kama wataalamu wanavyotuhusia ni tatizo kubwa sana kwa sasa, na huu ni ushahidi hakika wa jinsi hali ilivyo!

No comments:

Post a Comment