Saturday, March 20, 2010

Baada ya unyama na ukatili aliowafanyia Waganda, ndipo Amin atambua kwamba kumbe Mungu yupo. Kujitia kuukumbatia Uislamu baada ya maovu yote hayo ni kuipa jina baya dini ya Kiislamu. Sielewi ni kwa nini Waarabu walimuifadhi huyu nduli mpaka mauti yalipomkuta. Wasingempokea kabisa bali wangelimrudisha Uganda apate hukumu yake.

No comments:

Post a Comment