Saturday, March 20, 2010

A-Town enzi hizo mambo yote yalikuwa ni Dj Marcop(marehemu) wa kwanza kushoto. Wengine katika picha ni Teddy? mcharaza keyboard wa Tatunane, Fundi na baharia Nuru.

1 comment:

  1. Naona mabitooz wa enzi hizo. RIP Dj Macorp,
    Naamini A-Town will never be the same.

    ReplyDelete