Wednesday, March 31, 2010

LAILA ALLI
"Like father, like daughter"

Waliowahi kupambana na huyu dada kwenye ulingo watakwambia kwamba sura yake ya kuvutia ni tofauti kabisa na anavyoyatupa masumbwi. Mrembo huyu amewahi kuwahadhibu vibaya sana wapinzani wake ulingoni na kujipatia sifa kama mmoja wa mabondia bora wa kike Duniani.

No comments:

Post a Comment